09 | Tafsir Surah Rahman

Je kifo ni neema kwa binadam?
1. Allah asema kila kilichopo hai ulimwenguni kitaondoka.
2. Nini maana ya kufa?
3. Sababu zipi zaeleza kufa ni neema kwa mwanadam?
4. Ni vipi mauti si neema kwa mwanadam?
5. Suraat Ar-Rahmaan inaongelea kifo na athali zake haswaa kwa binadam na majini.
6. Sifa za Allah na sampuli zake.
7. Ajabu,uwezo na kudra za Allah kwa viumbe wote ulimwenguni.