Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam

01 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam

01 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
  ➢ Changamoto zinazoukabili Uislamu  • Mukhtasari wa muhadhara uliopita…  • Utangulizi…  • Changamoto wa uhaba wa kuyafahamu mambo…  • Mfano kutoka kwenye Ayah alizoteremshiwa Nabii Musa (as  • Wenye Subira na Shukurani ndio wenye kunafaika…  • Ni zipi siku za Mwenyezi Mungu…  • Maelezo mafupi – siku inaanza saa ngapi…  • Siku za Mwenyezi...

Fungua Mhadhara

02 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam

02 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
  ➢ Chanzo cha changamoto:  • Mukhtasari wa muhadhara uliopita…  • Zama hutofautiana…  • Huwezi kufananisha ya leo na ya jana…  • Mfano wa Iran na mataifa ya kibepari…  • Zama tunayoishi leo imeshinda zama zote zilizopita…  • Kasi ya mabadiliko – mabadiliko mengi ndani ya kizazi kimoja  • Mabadiliko huleta changamoto… 

Fungua Mhadhara

03 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam

03 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
➢ Ummah wa Kiislamu ni ummah bora:  • Mukhtasari wa muhadhara uliopita…  • Nini maana ya umma bora?  • Changamoto za umma huu…  • Je, sisi twastahiki kuitwa umma bora?  • Uislamu ni dini yenye uwezo wa kukabiliana na kila changamoto…  • Ubora wa tafakur/elimu…  • Umuhimu wa kufanya kazi …  • Usheikh – si

Fungua Mhadhara

04 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam

04 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
➢ Vipi tutakabiana na changamoto hizi:  • Mukhtasari wa muhadhara uliopita…  • Haja ya madaraja mbalimbali ya elimu…  • Viwango mbalimbali vya elimu…  • Jinsi gani ya kujua kwa undani viwango vya elimu ya mashehe zetu…  • Jukumu la Hauza na Madrasah zetu…  • Tatizo la mtu kuifunga akili yake…  • Maneno hayawezi kubadilisha ukweli...

Fungua Mhadhara

05 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam

05 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
➢ Yanayoturidisha nyuma:  • Mukhtasari wa muhadhara uliopita…  • Kukosekana kwa mbinu bora za kiidara…  • Kupigana dhidi ya ujinga…  • Mfano wa Iran…  • Wosia wa Imamu (Ali …  • Kukosekana kwa uongozi…  • Swali: vipi Hauaza zetu zitatufahamisha kuhusu elimu ya mashehe? Sikiliza majibu:…  • Umuhimu wa kuwa na maarifa wa kitu unchotaka

Fungua Mhadhara