Dori la vijana katika thaura ya Imam Hussain(s)

01 | Taarifa ya Marhala ya Ujana

01 | Taarifa ya Marhala ya Ujana
TAARIFA YA MARHALA YA UJANA: - Viwango vya umri Wa mwanadamu - Qur'ani yaulezaje Umri Wa mwanadamu - Ni nani kijana? - Huanza lini UJANA na hishia lini? - Yanayotofautisha umri Wa UJANA?

Fungua Mhadhara

02 | Umuhimu wa Vijana Katika Uislamu

02 | Umuhimu wa Vijana Katika Uislamu
UMUHIMU WA VIJANA KATIKA UISLAMU. - UJANA ni fursa ya dhahabu - UJANA ni wakti muhimu na hatari - VIJANA ni akiba ya Ummah - Kwa nini umri huu uwe muhimu? - Na UISLAMU wasemaje?

Fungua Mhadhara

03 | Sifa za Vijana wa Kiislamu

03 | Sifa za Vijana wa Kiislamu
SIFA ZA VIJANA WA KIISLAMU: - Kuwa na Dini na kujivunia na Ibada - Kujiilimisha - Kuwa mtulivu na Mwenye busara - Kujua jinsi ya kuzielekeza nguvu na nishati za UJANA - Mwenye ghera na haya - Kuulinda Uislamu

Fungua Mhadhara

04 | Vijana na Kielelezo

04 | Vijana na Kielelezo
VIJANA NA KIELELEZO - Umuhimu Wa kielelezo kwa watu. - Kielelezo ni kadhia ya msingi kwa VIJANA - Nini matokeo akikosekana Wa kuigizwa? - Nani Wa kuigizwa na vijana?

Fungua Mhadhara

05 | Mifano Mema kwa Vijana

05 | Mifano Mema kwa Vijana
MIFANO MEMA KWA VIJANA (ASW'HABUL KAHF) - Wajua nini kuhusu UISLAMU? - UISLAMU hakika na UISLAMU bandia. - Vipi tutaueleza UISLAMU kwa vijana? - Ni nani Asw'habul kahf? - SIFA za Asw'habil kahf.

Fungua Mhadhara

06 | Mifano Mema Wakati wa Mtume

06 | Mifano Mema Wakati wa Mtume
MIFANO MEMA KWA VIJANA WAKTI WA MTUME (s.a.w.w) - Mchango Wa vijana wakti Wa Mtume s.a.w.w - Alietumia UJANA wake kwa ajili ya UISLAMU (Ali bin Abitwalib a.s) - Binti aliekuwa mama Wa utume (Fatimah a.s) - Kijana Aliekuwa Balozi Wa UISLAMU (Musw'ab r.a)

Fungua Mhadhara

07 | Mifano Mwema kwa Vijana Karbala’a

07 | Mifano Mwema kwa Vijana Karbala’a
MIFANO MWEMA KWA VIJANA KARBALA'A - Mchango Wa vijana Karbla'a - Qasim bin Hassan a.s - Ali Al Akbar bin Hussein a.s - Abulfadhlil Abbas a.s - Khatima

Fungua Mhadhara