Nafasi Ya Ahlul Bayt(S) Katika Ujumbe Wa Mwisho Wa Mtume Muhammed(S)

01 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)

01 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
 ➢ THAURA (MAPINDUZI) YA IMAMU HUSEIN (AS) DHIDI YA BID’A:  • UTANGULIZI: Baadhi ya mapinduzi ya Imamu Husein (as):…  • Sifa kubwa ya Imamu Husein (as) ni Shahid…  • Tafsir ya ar-Rahman ar-Rahiim  • Thaura (Mapinduzi) katika Uislamu – maana yake…  • Maelezo zaidi kuhusu Bid’a utayapata katika sehemu zinazofuata. 

Fungua Mhadhara

02 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)

02 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
  ➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…  • Sifa mbili zinazomtofautisha Mtume (s.a.w.w) na Mitume wengine  • Misingi mikubwa miwili…  • Uongozi baada ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w)…  • Je, muda alioishi Mtukufu Mtume (s.a.w.w) ulitosha kuwaandaa na kuwalea masahaba zake?... 

Fungua Mhadhara

03 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)

03 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…  • Utekelezaji wa kiongozi katika sheria hii katika matendo yake…  • Jinsi Mtukufu Mtume (s.a.w.w) alivyotekeleza sheria kwa vipindi na hatua kwa hatua…  • Subira, uvumilivu na kuona mbali…  • Mfano wa Sulh Hudaibiyyah…  • Kipindi cha vita vya Jihad…  • Uhusiano wa vipindi hivi na Karbala…  • Msisitizo...

Fungua Mhadhara

04 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)

04 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…  • Somo kutoka Karbala…  • Ilikuaje ummah wa Mtukufu Mtume (saww) wakamuua mjukuu wake…  • Maelezo mafupi kuhusu Hashim na Umaya na chuki za kikabila…  • Jinsi Chuki hizi zinavyohusiana na Karbala…  • Kuachwa kwa Imamu Ali (as) ndio chimbuko la Karbala  • Kiburi cha Banu Umayyah – Mu’awiyya...

Fungua Mhadhara

05 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)

05 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…  • Kujipenyeza kwa Banu Umayya katika mwili wa Uislamu  • Yaliyojiri Karbala…  • Je, Imamu Husein (as) alikufa Karbala?...  • Wanavyosema baadhi ya watu kuhusu kushinda au kushindwa kwa Imamu Husein (as) …  • Tofauti ya Mashia wa kweli na wapenzi wa Maimu (as)…  • Ushindi ni kufikiwa kwa

Fungua Mhadhara

06 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)

06 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…  • Je, mapambano ya Karbala yaliisha?...  • Maimamu (as) siku zote ni wamoja…  • Mapenzi kwa Fatma na Ali (as) ni mapenzi kwa Mtukufu Mtume (saww)  • Hadith; ‘Haki iko na Ali na Ali yuko pampja na Haki’…  • Kulipa uhai jambo hili la dini na kupata uhai kwalo…. ...

Fungua Mhadhara

07 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)

07 | Nafasi ya Ahlul bayt(s) katika ujumbe wa mwisho wa mtume Muhammed(s)
➢ UTANGULIZI: Mukhtasari wa Muhadhara uliopita…  • Mapambano ya Karbala yanaendelea…  • Tumepata somo gani baada ya Ashura?...  • Imamu Ali (as) ajibu swali, ni kwanini hakuitetea haki yake…  • Vipi viongozi wanatakiwa kuwa na vipi wenye kuongozwa wanatakiwa kuwa…  • Baada ya kuwa Imamu Husein ni Shahid, halikadhalika sasa ni kiigizo chetu…  • Jinsi...

Fungua Mhadhara