Lulu na Marjan na faida zake pamoja na maajabu yaliyopo baharini.
1. Allah azungumzia sehemu kuu zipi katika neema ya Bahari?
2. Mazao ya bahari kwa binadam (lulu na marjan)
3. Lulu ni nini? faida na matumizi yake.
4. Rai mbili zanazofasili Marjan.
5. Sampuli za Marjan,faida na matumizi yake.
6. Neema ya bahari katika kusafiria.
7. Ni vipi bahari nyumba ya maajabu?