Maksudi ya Mashariqyn na Magharibyn na fasil ya aya “Marjah baharyn ya ltaqiyani”
1. Nini quran yasema kuhusu kuwepo kwa mashariki na magharib?
2. Ni vipi mashariki na magharib yatokea?
3. Ni ngapi idadi za mashariki na magharibi kutoka na rai za wanazuoni?
4. Sampuli za watu katika Uislam
5. Sampuli ya mustashirikina inavyoelezea mashariki na magharibi.
6. Bahari yazungumzwa vipi katika suraat Ar-Rahmaan?
7. Ni nini kilichokusudiwa iliposemwa Baharayn na Allah?