06 | Tafsir Surah Rahman

Steji ilopitia udongo aloumbiwa mwanadam.
1. Mwanadam wa kwanza ameumbwa kwa mchanga.
2. Wanadamu waliofuata waliumbwa kwa manii.
3. Ni steji zipi apitiazo mwanadam anapoumbwa?
4. Maelezo ya steji 5 apitiazo mwanadamu anapoubwa katika suraat Ar-Rahmaan.
5. Allah asema amemuumba binadam kwa udongo mkavu mithili ya udongo wa kujengea mtungi na kuweka faragh(sehemu ya wazi)ndani yake.
6. Namna alivyoumbwa Jini