05 | Tafsir Surah Rahman

Ardhi na ilivotandikwa
1. Nini neema ya ardhi katika maisha ya binadam?
2. Neno AN’AM na maana/fasil zake katika Quran.
3. Neno wadhaaha na fasili zake kuelezea neema ya ardhi kwa binadam.
4. Surat Ar-Rahmaan ni moja ya njia ya kumjua Allah.
5. Nini umuhimu wa kukumbuka neema za wazazi kwa vijana?
6. Kwanini Allah ametilia mkazo sana katika masuala ya mizani?