1. Ufafanuzi wa neema za mimea katika maisha ya mwanadam.
2. Neema ya samaa(mbingu) katika maisha ya binadam katika ulimwengu.
3. Matumizi tofauti ya neno samaa katika quran.
4. Nini athali za kutoka katika mipaka ya Allah aliyoweka kwa binadam?
5. Neema ya mizani katika maisha ya binadam ulimwenguni.