03 | Tafsir Surah Rahman

Kanuni za jua,mwezi na mimea katika ulimwengu.
1. Maelezo ya neema ya ulimi kwa wanadamu.
2. Ni wakat gani unatakiwa useme/unene na wakat gani unatakiwa unyamaze?
3. Nini tofauti kati ya kusikia,kuskiliza na kupulikiza?
4. Umuhimu wa neema ya jua katika kumuongoza binadamu na maisha yake.
5. Nini athari za mwezi katika maisha ya binadam?
6. Nini athari za mimea katika maisha ya binadam?