02 | Tafsir Surah Rahman

Kuumbwa kwa binadam na neema ya ulimi.
1. Kila kilichoumbwa ulimwenguni ni kwa ajili ya mwanadam
2. Umuhimu wa ulimi kwa binadam
3. Nini neema za Quran katika kumuongoza binadam?
4. Ni vipi Quran ni utajiri?
5. Nini neema ya bayana?
6. Tofauti ya bayana kati ya binadam na wanyama/hayawani.