Raha za peponi.
1. Ni zipi neema na starehe za peponi Allah alizowaandalia waja wake wema?
2. Sababu zipi hufanya pepo huzungumzwa kwa kusifiwa kwa wanadam?
3. Kwanini Allah aseme binadam waweke habari za pepo na moto mbele zao?
4. Barabara ipi iwapelekayo waja peponi?
5. Ni zipi sampuli mbili za Janatain?
6. Mapambo ya pepo za Janatain.