11 | Tafsir Surah Rahman

1. Ni steji zipi atapita mwanadam katika siku za kiama?(50)
2. Maelezo ya tetemeko kali la ardhi kama dalili ya kiama.
3. Mpasuko wa mbingu kama dalili nyingine ya kiama.
4. Mijadala tofauti inayoeleza kwamba kiama kitasababishwa na nyendo zakichokozi za kibinadamu na pamoja na mkono wa Allah.
5. Kuna marahil/maksah mangap binadam atapitia wakat wa kiama?
6. Watu wa aina ipi watapata adhabu kali ya kutiwa ndani ya hamim na aann wakati wa kiama?
7. Maswali na majibu kuhusu darsa husika.
– sababu za kuwepo hisabu ya matendo ya wanadam siku ya kiama.