Je twaweza kutoka katika ufalme wa Allah?
1. Neema na starehe za pepo kwa wale waliomtwii Allah.
2. Maana ya neno Atafaragh katika suraat Ar-Rahmaan.
3. Kwanini Allah asema atawatengea muda maalum kuwahesabia watu na majini hisab zao nzito siku ya kiama?
4. Sharti za kufanywa maaswia.(mja atoke katika mamlaka ya Allah)
5. Allah asema kwanini binadam ashukuru kwa kila neema apitiazo ulimwenguni.
6. Sababu zipi atoazo Allah kuonyesha adhabu ampazo mwanadam ni neema?