01 | Tafsir Surah Rahman

1. Utangulizi
– Kwanini aya 1 (fabiayii alaa’i rabikuma tukadhibaan) imerudiwa mara 31?
– Aya zake zazungumzia neema gani?
– Sifa na fadhila ya surat Ar-Rahmaan katika Quran

Mwanzo wa sura
1. Nini sababu ya kuitwa la Ar-Rahmaan?
2. Neema 3 kubwa za suraat Ar-Rahmaan