VIDEO | SURAH RAHMAN

01 | Tafsir Surah Rahman

01 | Tafsir Surah Rahman
1. Utangulizi - Kwanini aya 1 (fabiayii alaa’i rabikuma tukadhibaan) imerudiwa mara 31? - Aya zake zazungumzia neema gani? - Sifa na fadhila ya surat Ar-Rahmaan katika Quran Mwanzo wa sura 1. Nini sababu ya kuitwa la Ar-Rahmaan? 2. Neema 3 kubwa za suraat Ar-Rahmaan  

Fungua Mhadhara

02 | Tafsir Surah Rahman

02 | Tafsir Surah Rahman
Kuumbwa kwa binadam na neema ya ulimi. 1. Kila kilichoumbwa ulimwenguni ni kwa ajili ya mwanadam 2. Umuhimu wa ulimi kwa binadam 3. Nini neema za Quran katika kumuongoza binadam? 4. Ni vipi Quran ni utajiri? 5. Nini neema ya bayana? 6. Tofauti ya bayana kati ya binadam na wanyama/hayawani.

Fungua Mhadhara

03 | Tafsir Surah Rahman

03 | Tafsir Surah Rahman
Kanuni za jua,mwezi na mimea katika ulimwengu. 1. Maelezo ya neema ya ulimi kwa wanadamu. 2. Ni wakat gani unatakiwa useme/unene na wakat gani unatakiwa unyamaze? 3. Nini tofauti kati ya kusikia,kuskiliza na kupulikiza? 4. Umuhimu wa neema ya jua katika kumuongoza binadamu na maisha yake. 5. Nini athari za mwezi katika maisha ya binadam?...

Fungua Mhadhara

04 | Tafsir Surah Rahman

04 | Tafsir Surah Rahman
1. Ufafanuzi wa neema za mimea katika maisha ya mwanadam. 2. Neema ya samaa(mbingu) katika maisha ya binadam katika ulimwengu. 3. Matumizi tofauti ya neno samaa katika quran. 4. Nini athali za kutoka katika mipaka ya Allah aliyoweka kwa binadam? 5. Neema ya mizani katika maisha ya binadam ulimwenguni.

Fungua Mhadhara

05 | Tafsir Surah Rahman

05 | Tafsir Surah Rahman
Ardhi na ilivotandikwa 1. Nini neema ya ardhi katika maisha ya binadam? 2. Neno AN’AM na maana/fasil zake katika Quran. 3. Neno wadhaaha na fasili zake kuelezea neema ya ardhi kwa binadam. 4. Surat Ar-Rahmaan ni moja ya njia ya kumjua Allah. 5. Nini umuhimu wa kukumbuka neema za wazazi kwa vijana? 6. Kwanini Allah...

Fungua Mhadhara

06 | Tafsir Surah Rahman

06 | Tafsir Surah Rahman
Steji ilopitia udongo aloumbiwa mwanadam. 1. Mwanadam wa kwanza ameumbwa kwa mchanga. 2. Wanadamu waliofuata waliumbwa kwa manii. 3. Ni steji zipi apitiazo mwanadam anapoumbwa? 4. Maelezo ya steji 5 apitiazo mwanadamu anapoubwa katika suraat Ar-Rahmaan. 5. Allah asema amemuumba binadam kwa udongo mkavu mithili ya udongo wa kujengea mtungi na kuweka faragh(sehemu ya wazi)ndani

Fungua Mhadhara

07 | Tafsir Surah Rahman

07 | Tafsir Surah Rahman
Maksudi ya Mashariqyn na Magharibyn na fasil ya aya "Marjah baharyn ya ltaqiyani" 1. Nini quran yasema kuhusu kuwepo kwa mashariki na magharib? 2. Ni vipi mashariki na magharib yatokea? 3. Ni ngapi idadi za mashariki na magharibi kutoka na rai za wanazuoni? 4. Sampuli za watu katika Uislam 5. Sampuli ya mustashirikina inavyoelezea mashariki...

Fungua Mhadhara

08 | Tafsir Surah Rahman

08 | Tafsir Surah Rahman
Lulu na Marjan na faida zake pamoja na maajabu yaliyopo baharini. 1. Allah azungumzia sehemu kuu zipi katika neema ya Bahari? 2. Mazao ya bahari kwa binadam (lulu na marjan) 3. Lulu ni nini? faida na matumizi yake. 4. Rai mbili zanazofasili Marjan. 5. Sampuli za Marjan,faida na matumizi yake. 6. Neema ya bahari katika...

Fungua Mhadhara

09 | Tafsir Surah Rahman

09 | Tafsir Surah Rahman
Je kifo ni neema kwa binadam? 1. Allah asema kila kilichopo hai ulimwenguni kitaondoka. 2. Nini maana ya kufa? 3. Sababu zipi zaeleza kufa ni neema kwa mwanadam? 4. Ni vipi mauti si neema kwa mwanadam? 5. Suraat Ar-Rahmaan inaongelea kifo na athali zake haswaa kwa binadam na majini. 6. Sifa za Allah na sampuli...

Fungua Mhadhara

10 | Tafsir Surah Rahman

10 | Tafsir Surah Rahman
Je twaweza kutoka katika ufalme wa Allah? 1. Neema na starehe za pepo kwa wale waliomtwii Allah. 2. Maana ya neno Atafaragh katika suraat Ar-Rahmaan. 3. Kwanini Allah asema atawatengea muda maalum kuwahesabia watu na majini hisab zao nzito siku ya kiama? 4. Sharti za kufanywa maaswia.(mja atoke katika mamlaka ya Allah) 5. Allah asema...

Fungua Mhadhara

11 | Tafsir Surah Rahman

11 | Tafsir Surah Rahman
1. Ni steji zipi atapita mwanadam katika siku za kiama?(50) 2. Maelezo ya tetemeko kali la ardhi kama dalili ya kiama. 3. Mpasuko wa mbingu kama dalili nyingine ya kiama. 4. Mijadala tofauti inayoeleza kwamba kiama kitasababishwa na nyendo zakichokozi za kibinadamu na pamoja na mkono wa Allah. 5. Kuna marahil/maksah mangap binadam atapitia wakat...

Fungua Mhadhara

12 | Tafsir Surah Rahman

12 | Tafsir Surah Rahman
Raha za peponi. 1. Ni zipi neema na starehe za peponi Allah alizowaandalia waja wake wema? 2. Sababu zipi hufanya pepo huzungumzwa kwa kusifiwa kwa wanadam? 3. Kwanini Allah aseme binadam waweke habari za pepo na moto mbele zao? 4. Barabara ipi iwapelekayo waja peponi? 5. Ni zipi sampuli mbili za Janatain? 6. Mapambo ya

Fungua Mhadhara

13 | Tafsir Surah Rahman

13 | Tafsir Surah Rahman
Vigawanyo vya pepo 1. Neema 6 za peponi. 2. Sifa za Hurul-ain wa bustani za peponi. 3. Matendo na malipo yake kwa waja. 4. Sampuli tofauti za pepo. 5. Maelezo na mapambo ya daraja zote za pepo. 6. Allah afunga suraat AR-Rahman kwa maneno gani?

Fungua Mhadhara