01 | MTIHANI NA MASWAIBU

Kanuni ya mtihani.
– Nini balaa na mtihani?
– Ni ipi hikma ya mtihani na Maswaibu?
– Je, kuwepo balaa na Maswaibu kwapingana na hikma na uadilifu wa Mungu?
– Sababu za balaa na Maswaibu.
– Aina ya mitihani na madhihorisho yake
– Vipi tutakabiliana na Maswaibu?
– Mtihani na Maswaibu katika madrasa ya Ahlilbayt a.s
– Madhihorisho ya mtihani Karbala’