➢ Ummah wa Kiislamu ni ummah bora:
• Mukhtasari wa muhadhara uliopita…
• Nini maana ya umma bora?
• Changamoto za umma huu…
• Je, sisi twastahiki kuitwa umma bora?
• Uislamu ni dini yenye uwezo wa kukabiliana na kila changamoto…
• Ubora wa tafakur/elimu…
• Umuhimu wa kufanya kazi …
• Usheikh – si kila sheikh ni sheikh…
• Tatizo la kuuelewa Uislamu kimakosa…
• Msisitizo wa kuwa na akili iliyo huru…