05 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam

➢ Yanayoturidisha nyuma: 

• Mukhtasari wa muhadhara uliopita… 

• Kukosekana kwa mbinu bora za kiidara… 

• Kupigana dhidi ya ujinga… 

• Mfano wa Iran… 

• Wosia wa Imamu (Ali … 

• Kukosekana kwa uongozi… 

• Swali: vipi Hauaza zetu zitatufahamisha kuhusu elimu ya mashehe? Sikiliza majibu:… 

• Umuhimu wa kuwa na maarifa wa kitu unchotaka kufanya… 

• Msisitizo wa kuchangamkia fursa… 

• Umuhimu wa uongozi katika jamii…