04 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam

Vipi tutakabiana na changamoto hizi: 

• Mukhtasari wa muhadhara uliopita… 

• Haja ya madaraja mbalimbali ya elimu… 

• Viwango mbalimbali vya elimu… 

• Jinsi gani ya kujua kwa undani viwango vya elimu ya mashehe zetu… 

• Jukumu la Hauza na Madrasah zetu… 

• Tatizo la mtu kuifunga akili yake… 

• Maneno hayawezi kubadilisha ukweli kuwa uwongo au uwongo kuwa ukweli… 

• Maneno ya Bibi Zainab (as akimuambia Ibn Ziyad…