➢ Changamoto zinazoukabili Uislamu
• Mukhtasari wa muhadhara uliopita…
• Utangulizi…
• Changamoto wa uhaba wa kuyafahamu mambo…
• Mfano kutoka kwenye Ayah alizoteremshiwa Nabii Musa (as
• Wenye Subira na Shukurani ndio wenye kunafaika…
• Ni zipi siku za Mwenyezi Mungu…
• Maelezo mafupi – siku inaanza saa ngapi…
• Siku za Mwenyezi Mungu ni zipi?
• Siku ya Ashura ni siku ya Mwenyezi Mungu – kivipi = sikiliza…
• Tanbihi…
• Kauli ya Ibn Taimiya kuhusu hadithi zilizo husishwa na Siku Ashura…
• Chuki baina ya Waislamu…