a) Fikra za uzembe zinazotiwa watu kwa kutumia aya za Qur’an
b) Amesema Bwana Mtume (s.a.w.w.) “Sioni sababu yeyote umma wangu utakuwa fakiri, lakini ninahofia kupanga mambo yao vibaya”
c) Uchumi wa Waislamu wengi wapotea katika malengo yasiyokusudiwa.
d) Hakuna bahati mbaya katika Uislamu.
e) Si kila aliyesoma elimu ya Dini akawa Mubaligh
f) Maarifa ya kuzungumza na watu kwa kadiri ya akili zao.