01 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
➢ Changamoto zinazoukabili Uislamu • Mukhtasari wa muhadhara uliopita… • Utangulizi… • Changamoto wa uhaba wa kuyafahamu mambo… • Mfano kutoka kwenye Ayah alizoteremshiwa Nabii Musa (as • Wenye Subira na Shukurani ndio wenye kunafaika… • Ni zipi siku za Mwenyezi Mungu… • Maelezo mafupi – siku inaanza saa ngapi… • Siku za Mwenyezi...
02 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
➢ Chanzo cha changamoto: • Mukhtasari wa muhadhara uliopita… • Zama hutofautiana… • Huwezi kufananisha ya leo na ya jana… • Mfano wa Iran na mataifa ya kibepari… • Zama tunayoishi leo imeshinda zama zote zilizopita… • Kasi ya mabadiliko – mabadiliko mengi ndani ya kizazi kimoja • Mabadiliko huleta changamoto…
03 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
➢ Ummah wa Kiislamu ni ummah bora: • Mukhtasari wa muhadhara uliopita… • Nini maana ya umma bora? • Changamoto za umma huu… • Je, sisi twastahiki kuitwa umma bora? • Uislamu ni dini yenye uwezo wa kukabiliana na kila changamoto… • Ubora wa tafakur/elimu… • Umuhimu wa kufanya kazi … • Usheikh – si
04 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
➢ Vipi tutakabiana na changamoto hizi: • Mukhtasari wa muhadhara uliopita… • Haja ya madaraja mbalimbali ya elimu… • Viwango mbalimbali vya elimu… • Jinsi gani ya kujua kwa undani viwango vya elimu ya mashehe zetu… • Jukumu la Hauza na Madrasah zetu… • Tatizo la mtu kuifunga akili yake… • Maneno hayawezi kubadilisha ukweli...
05 | Umoja na mshikamano ndio suluhisho la matatizo ya Umma wa Kiislam
➢ Yanayoturidisha nyuma: • Mukhtasari wa muhadhara uliopita… • Kukosekana kwa mbinu bora za kiidara… • Kupigana dhidi ya ujinga… • Mfano wa Iran… • Wosia wa Imamu (Ali … • Kukosekana kwa uongozi… • Swali: vipi Hauaza zetu zitatufahamisha kuhusu elimu ya mashehe? Sikiliza majibu:… • Umuhimu wa kuwa na maarifa wa kitu unchotaka