1. Ni vipi ujinga waharibu vyombo vya maarifa?
2. Ni vipi unafiki waharibu vyombo vya maarifa?
3. Ni vipi kukataa haki kwaharibu vyombo vya maarifa?
4. Ni vipi kufata kwa utu (utakatifu uliozidi) kwaharibu vyombo vya maarifa?
5. Ni vipi madhambi yaharibu vyombo vya maarifa?