16 | Tafsir Surah Yaasin

1. Kauli na nasaha za mfuasi wa Mitume kwa wapinzani wa Mitume.
2. Sababu/dalili zipi alizotoa Allah kwa waja wa antwakia kuwakubali Mitume wake?
3. Sababu zipi ziliwafanya Mitume wasitake malipo kutoka kwa waja ulimwenguni?
4. Nini maana ujira alioungelea Mtume katika Sura Yasin?
5. Ni ujira upi Mtume aliuomba kwa waja katika Sura Yasin?
6. Maswali na majibu kuhusu darsa – Mambo gani unaweza kuyafanya yatavunja Hijja ya mja?