08 | Tafsir Surah Yaasin

1. Muendelezo wa njia zitumiwazo na waja kuwasiliana na ulimwengu na maarifa.
2. Masharti gani yafatwe ili vyombo vya mawasiliano vitumike?
3. Ni vipi watazuia vyombo vya mawasiliano visifanye kazi?
4. Ni vipi kupenda sana ulimwengu kwazuia vyombo kufanya kazi?
5. Ni vipi kibri na kujisikia vyaharibu na vyafunga vyombo vya maarifa?