1. Fikra zinazohusika na maelezo aya 7-10 ya Sura Yasin.
2. Vyombo zipi watazitegemea kuwasiliana na ulimwengu?
3. Mja anapozaliwa huwa kama ardhi tupu hamiliki maarifa yoyote kwa mujibu wa Qur’an.
4. Hisia za mawasiliano zisipofanya kazi, ni kazi kufikisha maarifa kwa mja.
5. Hisia zipi za kwanza mja hutumia pale mwanzoni baada ya kuzaliwa? Sababu gani hisia hizo ndio zilitangulia kabla zingine?
6. Zipi kazi za hisia na vyombo za mawasiliano?
7. Njia zipi atumiazo mwadamu kuwasiliana na ulimwengu?