06 | Tafsir Surah Yaasin

1. Fakhrudin Razi azungumzia nini kuhusu njia waja wanazotumia kupata pepo za Allah katika Sura Yasin?
2. Sampuli mbili za maisha ya mja ni zipi?
3. Hatua zipi wataalam walizochukua kusoma maarifa?
4. Ni vitu gani vyaua mawasiliano kati ya waja na ulimwengu wake?
5. Nini mapungufu ya vyombo vya mawasiliano kwa mwanadamu?