1. Nini yalikua malengo yakutimiliza Mitume?
2. Ni vipi mja atafikia malengo aliyoumbiwa?
3. Adhabu na maelezo yake.
4. Nini malengo ya adhabu kwa mja?
5. Mambo gani ya kuzingatia kabla na wakati mtu anapotoa adhabu kwa mja?
6. Ni makosa gani yafaa kunyamaziwa na yapi hayafai kufumbiwa macho?
7. Ni zipi athari za adhabu zilizokithili kwa mja/mtoto?
8. Kazi/jukumu la Mitume ni nini?