1. Fasili na maelezo ya aya za kwanza za juzuu ya tano.
2. Adhabu 2 gani ambazo Allah aliwatisha watu wa Makka kwa matendo yao?
3. Kwanini twapaswa kushukuru kwa kila neema kutoka kwa Allah?
4. Ni neema zipi ambazo waja hatudhithamini mpaka tuzikose?
5. Kwanini Mtume Muhammad (S.A.W) aliwapa majukumu makubwa vijana(barobaro) na si wazee?
6. Maswali na majibu