35 | Tafsir Surah Yaasin

1. Kuna milango mingapi ya moto?
2. Ni nini maksudio ya kua na milango ya moto?
3. Ni zipi sampuli za adhabu za watu wa motoni?
4. Ni nani watakaoketi milele motoni?
5. Ni vipi madhambi huvutia madhambi mengine?
6. Ni vipi ushahidi wa matendo utaonyeshwa mbele ya waja siku ya hesabu?
7. Sampuli za Mashahidi wa matendo ya waja siku ya kiama.
8. Maswali na majibu
– Je kila kiumbe ana malaika wawili? hadi kwa Mtume Muhammad?