34 | Tafsir Surah Yaasin 1. Ni nani hao watu wa motoni? 2. Ni zipi sababu zitawapelekea watu kuingia motoni? 3. Nini hakika ya moto? 4. Nini maana ya sakar? 5. Majina ya moto. 6. Je kuna sababu/haja gani za kuwepo na huu moto?