33 | Tafsir Surah Yaasin

1. Muendelezo wa sampuli za starehe za peponi na maelezo yake.
2. Mijadala je pepo na moto vishaumbwa au bado?
3. Je kama pepo/moto zimeumbwa zitatoweka au la? (baada ya gharika za kiama)
4. Masihala ya rataba/kuchoshwa kwa binadam na starehe za pepo.
5. Kwanini mtu hawezi kukidhi kima cha kitu mpaka akikose?
6. Aya ya 59-64 na maelezo yake ya matendo ya motoni.
7. Sababu gani asema Allah yeye ndo wakuabudiwa pekee?
8. Maswali na majibu.