32 | Tafsir Surah Yaasin

1. Muendelezo wa malipo ya amali njema za wasio waislam.
2. Madhumuni na fikra zilizotukuziwa aya za kueleza pepo ni zipi?
3. Sampuli mbili za ukaffir na maelezo yake.
4. Ni zipi steji za kujisalimisha kwa mja kwa Allah?
5. Sifa mbili zipi zatumiwa kutengamaa jambo kama ni zuri au si zuri?
6. Sampuli za starehe za peponi na maelezo yake.
7. Maswali na majibu
– Je kwa kila mja wa peponi alitamino atapewa?