1. Manzira ya mwisho baada ya mahesabu siku ya kiama ni yapi?
2. Kwanini msingi wa starehe za pepo ni lazima ue na utulivu wa kinafsi?
3. Maelezo ya starehe za kimwili za peponi. (mke/mume ,hulullain,chakula)
4. Maelezo ya starehe za kinafsi za peponi.
5. Kwanini masihara ya kuamini pepo na moto ni itikadi muhimu kuaminiwa na waislam?
6. Sababu zipi zamfanya mja aingie peponi?
7. Nini malipo ya matendo mema kwa wasio waislam?
8. Maswali na majibu
– Ni pepo ipi Mtume Muhammad aliiona na aliingia?