30 | Tafsir Surah Yaasin

1. Maelezo ya steji za siku ya kiama.
2. Ni nidham gani itafuatwa katika kuhesabu mizani ya waja siku ya kiama?
3. Kwanini mahakma ya siku ya kiama itaendeshwa kiuadilifu?
4. Nukta 3 muhimu za aya ya 54 ya Sura Yasin ni zipi?
5. Nini maana ya uadilifu? ni upi uadilifu wa Allah kwa waja?
6. Sampuli 3 za malipo ya matendo ya waja ulimwenguni.