03 | Tafsir Surah Yaasin

1. Muhtasari mfupi wa darsa iliopita.
2. Dalili za kuthibitisha Utume.
3. Ni ipi Miujiza aliyokuja nayo Mtume Muhamad (S.A.W)?
4. Maana ya Sura Mustakeem na maelezo yake.
5. Sura Mustakiim, vikwazo wapitavyo waja na jinsi watakavoivumbua.
6. Sampuli za njia za kuutekeleza uislam.