29 | Tafsir Surah Yaasin

1. Sababu kwa nini Allah alificha lini kiama kitakuja.
2. Ni vipi Allah/Qur’an iliwajibu wapinzani kuhusu upinzani wao wa kufufuliwa waja siku ya kiama.
3. Vipi Allah aihusisha ardhi baada ya mauti?
4. Ni ipi mifano ya kiyama ipitayo mbele ya waja ulimwenguni?
5. Je kufufuliwa ni kwa roho na mwili au roho tu?