28 | Tafsir Surah Yaasin

1. Ni maudhui gani yamechukuliwa na juzuu hii ya Sura Yasin?
2. Fasili na maelezo ya aya ya 48 ya Sura Yasin. (maneno ya wapinzani wa Mitume)
3. Ni lini hiko kiama? je kipo au hakipo?
4. Kwanini imani ya siku ya kiama na maisha ya akhera ni msingi mkubwa wa imani ya uislam?
5. Je kuamini siku ya kiama kuna athari gani kwa mwanadamu?
6. Kwanini wapinzani wakanusha/wakataa siku ya kiama?
7. Qur’an imewajibu nini wapinzani waliokataa/kanusha siku ya kiama?