1. Fasili na maelezo ya mwanzo ya aya ya 45.
2. Nini maana ya kuucha vilivyombele yetu na nyuma yetu?
3. Rai 6 zinazoeleza nini cha kuuchwa mbele na nyuma ya waja ulimwenguni.
4. Makosa gani adhabu zake zatolewa hapahapa ulimwenguni?
5. Sera na nyendo za wapinzani dhidi ya kupinga Mitume.
6. Irada ngapi za Allah akitaka kufanya jambo liwe liwe?
7. Janga la ufukara na maelezo yake.
8. Nidham za Allah alizozipanga kwa waja kuendesha maisha yao ni zipi?
9. Maswali na majibu
– Hizi nidham za Allah zafaa kuamlishwa kwa manaswala?