26 | Tafsir Surah Yaasin

1. Muendelezo wa maelezo ya neema ya bahari. (usafiri baharini)
2. Ni vipi bahari yachangia chakula cha viumbe ulimwenguni? (tani ngap?)
3. Ni vipi bahari yachangia hali ya hewa ya ulimwengu?
4. Ni upi mchango wa bahari katika kuleta afya ya waja ulimwenguni?
5. Maajabu yaliyoumbiwa bahari ni yapi?
6. Fasili na maelezo ya aya ya 42 ya Sura Yasin.
7. Maswali na majibu
– Ni nani aliyeumba jahazi ya Nabii Nuh?