1. Ni vipi Allah anatenda kazi katika bahari? (nidham za bahari)
2. Kuna mfungamano gani kati ya aya hii (41) na aya zilizopita?
3. Fasili 3 tofauti za aya 41 na maelezo yake.
4. Nabii Nuh na kisa cha jahazi lake na umuhimu wake.
5. Umihimu(faida) za neema ya bahari ni zipi?
6. Vipi ilikuja/ilitengenezwaje bahari na Allah?
7. Kwanini maji ya bahari zaidi ya moja hayalingani?
8. Maswali na majibu.
– je kizuri huzaa kizuri na kiovu huzaa kiovu tu?