1. Mwezi kama dalili ya kuwepo kwa Allah.
2. Maumbile, steji na nyendo zipitiazo mwezi.
3. Nidham na kudra za Allah katika kuumba ulimwengu ni zipi?
4. Vipi Qur’an ilitumia vitu hivi vinne kuthibitisha kudra za Allah?
5. Faida za mchana, usiku, jua, mwezi ulimwenguni.
6. Maswali na majibu.
– Hukumu ya nchi zinazokua na jua miezi 6 na usiku miezi 6 ni zipi?