1. Aya ya 37 na maelezo yake.
2. Rai nne kueleza dalili ya Allah na nguvu zake katika kupambanua usiku na mchna.
3. Ni yapi maumbile ya ulimwengu/ardhi?
4. Mjadala wa tafsiri kuhusu wau ya aya ya “washamsu….” katika Sura Yasin.
5. Rai 4 kuFasilii nyendo za jua zikusudiwao na Allah.
6. Sifa zipi alichagua Allah kueleza mambo aliyoyapanga ulimwenguni?
7. Maswali na majibu
– Je kuna aya za Qur’an zilishushwa kwa maswahaba?
– nini maana ya naskhu?