22 | Tafsir Surah Yaasin

1. Muhtasari mfupi wa darsa ilopita.
2. Ugumu wa somo la uhai kwa wanazuoni.
3. Pande mbili za miujiza ya viumbe hai ni zipi?
4. Miujiza ya mimea ni ipi?
5. Sampuli za mimea kama dalili ya kuwepo kwa Allah.
6. Fasili na maana za aya ya “subhanaradhina harakah azuwaja kullaha”.