1. Maelezo ya aya ya 35 ya Sura Yasin.
2. Kwa nini Allah ametoa mahitaji yote ya waja ardhini? (nini malengo ya kuumbwa ardhi?)
3. Dalili ya shukran kwa yule anayetuneemesha na adabu zake.
4. Qur’an imetumiaje suala uhai na umauti kueleza mambo/kuthibitisha itikadi ulimwenguni?
5. Malengo ya kusoma uhai na umauti ya yapi?
6. Ni vipi kitu kisichokua na maisha kinapata maisha? (maisha/uhai ulitokea wap?)