1. Maelezo ya mafungamano baina ya aya ya 32 na 33 za Sura Yasin.
2. Dalili zipi zaonyesha kuwepo kwa Allah?
3. Kwanini Allah ametumia “faminhum yakiruun” katika kuelezea chakula?
4. Kwanini Allah aliongelea tende na zabibu kuelezea matunda?
5. Maswali na majibu.
– kwanini Allah aficha dalili za kuwepo kwake, kwanini asituthibitishie moja kwa moja uwepo wake?
– Nini umuhimu wa tende? kwanini Maryam aliambiwa ale tende na Allah alipojifungua Nabii Issa?
– Kuna hoja yeyote kua bi Amina alikua kafir au si kafir?