02 | Tafsir Surah Yaasin

1. Juzuu ya kwanza ya Sura Yasin inaongelea nini? (Utume)
2. Fasili tofauti za neno Yasin.
3. Hurufu Muqattaat ni nini?
4. Nini makusudio ya hurufu Mukatwah?
5. Rai tofauti kuelezea hurufu Mukatwah na majina ya sura katka Qur’an.
6. Fasili za aya tatu za kwanza za Sura Yasin.