1. Nini kilichokua baada ya kuuawa yule mtu (habib najaar), kupingwa ile Mitume katika mji wa antwakia?
2. Habib najaar na kaumu zake.
3. Ni kipi kinachokanusha kushushwa katika mji wa antwakia?
4. Uangamizo/mwisho wa waja wa mji wa antwakia.
5. Hasara zipi wamezipata watu walioangamizwa wa antwakia?
6. Mafunzo gani tunapata kutoka kwa kisa hiki cha watu wa antwakia?
7. Muhtasari wa juzuu ya pili ya Sura Yasin.