1. Nani anahutubiwa na aya ya “inni amantu birabikum fasmahuun” katika Sura Yasin?
2. Nini walichokifanya wapinzani baada ya kuelezwa aya hii?
3. Maisha ya akhera ya mtu aliyenena aya ya “inni amantu birabikum fasmauun” kwa wapinzani wa Mitume.
4. Sampuli za ikram za Allah ni ngapi?
5. Faida zipi tuzipatazo kutoka kwa kisa cha mtu huyu?
6. Ni vipi tutauza nafsi zetu inapobidi kuziuza? na kwa nani tutaziuza?
7. Nini maana ya kufa shahidi?
8. Steji apitazo mwanadamuu katika ulimwengu ni zipi?
9. Maswali na majibu.